Asili ya KKU

Katika kutekeleza Awamu ya Tatu ya Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa (2017 – 2022) serikali iliziagiza taasisi za Umma kuanzisha Kamati za Kuthibiti Uadilifu (KKU). Katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Kamati hiyo (KKU-SUA) imeundwa Oktoba 2018

Wajumbe wa KKU-SUA wameteuliwa na Makamu wa Mkuu wa Chuo (VC)