Njia za Kutuma Malalamiko Kuhusu Ukiukwaji Uadilifu Kwa KKU
Kupitia kwa Wawakilishi wa Jumuiya ya Wanafunzi
Kupeleka moja kwa moja kwa Wajumbe wa KKU kupitia namba zao za simu.
Kupitia Masanduku ya Maoni – yana Kifupisho KKU. Yamewekwa:
a. Kampasi ya Edward Moringe
b. Hosteli ya Nicholaus Kuhanga
c. Multi-purpose Hall
d. Kampasi ya Solomon Mahlangu
e. Eneo la Maktaba
f. Freedom Square – Dome
Kupitia njia za baruapepe za wajumbe wa Kamati ya Kuthibiti Uadilifu